July 10, 2008

Mlima ya Meru na picha zingine





Leo ni kikundi changu walienda mskitini kusali salaat maghrib. Mskitini ni karibu na bweni yetu. Hapa ni shughuli za kila siku. Huamka saa kumi na moja. Huoga na hupiga mswaki na huvaa nguo. Kawaida hula chakula cha asubuhi saa moja na nusu. Kuna mayai na mandazi na ndizi na chai mtamu. Huanza darasa saa mbili na nusu. Kuna mazungumzo kuhusu vitu vingi, kwa mfano leo tunazungumza nchi yetu na tofauti kati ya Mtanzania.
Kuna watu wanne nyingine tuko darasa yangu. Kuna mwanaume na mke yake kutoka jimbo la New York. Pia kuna mzee kutoka New Zealand na mvulana kutoka New York pia. Unasoma chuo kikuu cha Cornell.
TCDC ni nzuri sana. Walianza kuwapata msaada watu wa Tanzania kujitahidi maendeleo hasa. Kila mwaka wanafundisha watu wengi Kiswahili. Kunako wanafunzi wengi kutoka vyou vikuu vingine vingine. Wanafunzi wengine walisoma Kiswahili kwa muda wa miaka tano!
Nafurahi kuona nafasi maalum!

0 comments:

  © Blogger templates The Professional Template by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP